Tazama orodha ya walimu wa nyumbani na wazazi wanaoshiriki katika mradi huu (familia 40 katika nchi 6). Walimu Wa Nyumbani Na Wazazi >> |
|||
Wanachama waliojiandikisha |
|||
|
Mradi wa Kindersite unahitaji usaidizi WAKO ili kukua chombo bora zaidi cha masomo ya watoto wadogo kwenye mtandao. Tafadhali chukua muda kutazama sehemu mbali mbali ambazo waweza kuchangia.>>> Tazama orodha ya wadhamini wetu na watu wengine binafsi ambao wamejitoleaili kuufanikisha mradi huu. Tazama orodha >>> historia ya mradi wa Kindersite, ‘Ni wakati gani bora kuanza kujulisha watoto kuhusu matumizi ya tarakilishi' (PDF Format,size 110 KB) |
|||
|
|||
Tazama shule ambazo zinashiriki katika mradi huu (shule 197 katika nchi 32). Shule >>> |
|||
Debbie Mills, Campbell-Reed Learning Center, Manchester, Kentucky, USA Mtandao wenu ni mzuri na nimeupenda sana. Kila wakati ninapoutembelea, mimi hupata jambo jipya. Nimeweza kuwaonyesha walimu wengine katika shule 5 ambazo mimi hufanya kazi nazo na wote wanapanga kuutumia. Wanafunzi wanapenda hadithi na michezo zilizomo. Shukrani nyingi kwa kutuwezesha kuutumia mtandao wenu. |
|||
Mission
| Description | Endorsements
| Link to the Kindersite Project
| Participating
Schools
| Tell a friend |My
page (sample) |
Research Result Scenarios | Advisory Board
| Content Owners | About
us | |
|||
| Ikiwa unapenda kutoa usaidizi wa aina yeyote kwa mradi wa kindersite, tafadhali tuandikie katika: info@kindersite.org | |||
© Kindersite.org 2004. Tafadhali soma ilani |
|||